| Jengo la WESTAGATE hilo hapo, tulifanikiwa kupita na kuangalia lilvyo adhirika na uharamia uliofanyika. |
| Jengo la Bunge la Kenya hilo... |
| Mwalimu mkuu akitoa maelekezo kabla ya kuingia kwenye SUPER MARKET ili watoto wajinunulie mahitaji yao binafsi.. |
| Maeneo ya KAJIADO ,ambapo tulipumzika na kula na kuendelea na safari ya kurudi Arusha... |
| Treni ya mizigo ya MAGADI SODA ,maeneo ya KAJIADO... |
| Hapa ni NAMANGA tumefika, tunapitisha PASSPORT zetu kwenye ofisi zote mbili za TANZANIA NA KENYA za uhamiaji ili tugongewe na kurudi zetu Arusha Tanzania. |
| ..................Hapa ni KAJIADO.................................KANDA ZA VIDEO ZA SAFARI YA NAIROBI ZINAPATIKANA SHULENI , PIGA NAMBA HIZI 0754 626 278 au 0755 643 633 |