MASOMO YAMEANZA RASMI WIKI HII JANUARI 6, 2014, UNAKARIBISHWA SANA

Shule imeshafunguliwa, karibuni sana wale wote wenye watoto wanaotakiwa kuanza shule....tunapokea watoto wa kuanzia umri wa miaka miwili na nusu, kwa wanafunzi wa bweni na kutwa. Karibuni sana...kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga simu hizi
0752 251133 na 0754 301181 au tutumie barua pepe : hadyschool@gmail.com
.....
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post