ABOUT US


Welcome to Hady School a dynamic co-educational day and boarding school, educating over 400 students between the ages of 3 and Above.

Our Motto:
 Strive to Excel

 Our Vision:

To make Hady Nursery and Primary School the Best School in our Country.


 Our Mission:

We exist to produce Disciplined pupils, who through hard work would lead successful lives.

 <<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

KARIBU KWENYE SHULE YETU YA HADY , ILI MWANAO APATE ELIMU BORA.

Shule ipo Sombetini,Jijini Arusha. umbali wa kilomita 4 toka mjini, unapanda Bajaj zinazokwenda Sombetini-Ngusero, unasema ushushiwe Shule ya HADY ipo Barabarani.
  
SHULE INA WAALIMU WENYE WELEDI WA KUFUNDISHA WANAFUNZI KUANZIA NGAZI YA AWALI HADI MSINGI.

Shule Pia inafundisha masomo ya TEHAMA (I.C.T) na KIFARANSA (French) BUREE...!!! kutoka darasa la Tatu hadi la Sita.

Tunapokea Wanafunzi wanaohamia kuanzia Darasa la 1,2,3,5 na 6 (Usaili ni kilasiku).

BEI ZETU NI NAFUU SANA...(Laki 9 Kwa Mwaka) 

TUNAONGOZA KITAIFA,KI MKOA NA KIWILAYA.

KARIBU SANA.

WASILIANA NASI:

Mob: 0754 625 669 (Ass. Director)

Mob: 0754 626 278 ( Manager)

Mob : 0769 953 893 ( Accountant )

E-mail: hadyschools@gmail.com
E- mail : info@hadyschool.ac.tz

Web: http://www.hadyshools.ac.tz/


HADY NURSERY AND PRIMARY SCHOOL
P.O.BOX 13508
ARUSHA.

Technical Coordinator : 0784 643 633