MATOKEO YETU


RESULTS AND DEVELOPMENT OF HADY PRIMARY SCHOOL

<<<<<<<<<<PSLE 2022 >>>>>>>>>>>>>>>

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2022 kwa Shule yetu ya Msingi ya HADY (Hady Primary School) 2022, yametoka na tumefaulu kwa kiwango kizuri sana (DARAJA "A" BORA),mwaka huu hapakuwepo na nafasi kiwilaya, mkoa wala Taifa, ila Waliofanya mtihani ni 60 na mchanganuo wa ufaulu ni kama ifuatavyo;


MADARAJA YA UFAULU
A - 50
B - 10
C- HAKUNA
D -HAKUNA
E- HAKUNA




<<<<<<<<<<PSLE 2021 >>>>>>>>>>>>>>>

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2021 kwa Shule yetu ya Msingi ya HADY (Hady Primary School) 2021, yametoka na tumefaulu kwa kiwango kizuri sana, Waliofanya mtihani ni 70 na mchanganuo wa ufaulu ni kama ifuatavyo,tumeshika nafasi ya (09) kati ya shule 84 za Halmashauri ya Jiji la Arusha, zenye watahiniwa  zaidi ya 40 Kwenye kundi lake, nafasi ya (16) ki Mkoa kati ya shule 448 katika mkoa wa Arusha na nafasi ya 108 kati ya shule 11,909 Kitaifa.

MADARAJA YA UFAULU
A - 63
B - 06
C- 01


<<<<<<<PSLE 2020 >>>>>

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2020 kwa Shule yetu ya Msingi ya HADY (Hady Primary School) 2020, yametoka na tumefaulu kwa kiwango kizuri sana, Waliofanya mtihani ni 62 na mchanganuo wa ufaulu ni kama ifuatavyo,tumeshika nafasi ya (13) kati ya shule 73 za Halmashauri ya Jiji la Arusha, zenye watahiniwa  zaidi ya 40 Kwenye kundi lake, nafasi ya (22) ki Mkoa kati ya shule 396 katika mkoa wa Arusha na nafasi ya 160 kati ya shule 10,659 Kitaifa.


MADARAJA YA UFAULU WA UJUMLA
A - 53
B- 9



<<<<<<<CLASS IV (SFNA )2019 >>>>>>

Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la NNE (SFNA) Kwa Shule ya Msingi ya HADY (Hady Primary School) 2019, yametoka na tumefaulu kwa kiwango kizuri sana, Waliofanya mtihani ni 74 na mchanganuo wa ufaulu ni kama ifuatavyo,shule yetu imeshika nafasi ya (19) kati ya shule 84 za Halmashauri ya Jiji la Arusha, zenye watahiniwa  zaidi ya 40 Kwenye kundi lake, nafasi ya (37) ki Mkoa kati ya shule 511 katika mkoa wa Arusha na nafasi ya 330 kati ya shule 14,312 Kitaifa.

Kwa Maelezo Zaidi Bofya HAPA >>>>

<<<<<<<<<<<<< <2019> >>>>>>>>

Results School HADY Primary School 2019, come from and we have succeeded to a very great extent, Highly test is 76 and analysis of performance are as follows, our school ranks Five (5) out of school 73 of the Council of Arusha, containing the examined  more than 40 in his group , the chances of Eight (8) ki Province between the school 370 in the region of Arusha and space 42 between school 9,9 29 Code.

MADARAJA YA UFAULU WA UJUMLA
A - 71
B - 5



<<<<<<<<<<<<< <2018> >>>>>>>>

Results School HADY Primary School 2018, shows that our school ranks Eighteen ( 18 ) out of the 73 districts of Arusha, containing the tested  over 40 In his group , ranked thirty-sixth (36) ki Province in 378 schools in Arusha region and 378 out of 10 schools , 090 National.



<<<<<<<<<<< <2017> >>>>>>>>>

PRIMARY SCHOOL 

The results of HADY Primary School 2017 show that our school ranks Eighth ( 8th ) out of 69 Arusha Urban districts, with more than 40 candidates  in its category , 13th Region in schools 376 in Arusha region and 122nd out of 9 schools , 736 National.

Seventh Class Results 2017, for Our School Click Here >>>>


 <<<<<<<<<<< 201 6 >>>>>>>>>>>>
PRIMARY SCHOOL 

Results School HADY Primary School 201 6 , indicate that our school ranks Fifteen ( 15 ) between 68 ki districts of Arusha, containing the tested 40 or more In his group , the chances of Twenty Eight ( 28 ) Regional in 3 31 schools in the Arusha Region and 248th out of 8,109 schools in its National Group .

Grade 7 Results 201 6 , for our School; Click Here >>>>>>


<<<<<<<<<<<<< 2015 >>>>>>>>>>>>>


The results of HADY Primary School 2015 indicate that our school is ranked 2nd in Arusha Urban district, sixth (6) Regional in 603 schools in Arusha Region and 136th among schools 16,096 National.

Seventh Class Results 2015, for our School; Click Here >>>>>>

<<<<<<<<<<<< 2014 >>>>>>>>>>>>>
The HADY School results for 2014 show that the students who passed the test were 99, and the results show that our school ranks fourth among 102 schools in Arusha Urban district, 14th among 14 589 schools in Arusha region, and 207th among 15,867 schools nationally.


<<<<<<<<<<<<<<<<<<<< 2013 >>>>>>>>>>>>>>>>>


The results of the seventh grade in 2013 came out, we had 58 students do the test. 29 students have passed grade A, 27 students have passed grade B and 2 students have passed grade C. We congratulate the Hady Nursery and Primary School teachers for the good work they have done, the students for their efforts, and the overall leadership of the school. efforts to ensure that students receive a good education. Districts have placed three (3) , regional role of Seven (7) and national space 71 between schools 15,656.

Open this examination council link and see our results: http://www.necta.go.tz/results_html_2013/results/shl_p0102046.htm

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<  2012 >>>>>>>>>>>>>>>>>>
In 2012 Hady School has 87 candidates who are expected to take the National Examination we are determined to continue to lead locally, regionally and nationally. All Students Graduated with a "B" Grade and Assigned to Public Secondary Schools and Others to Private School.

<<<<<<<<<<<<< 2011 >>>>>>>>>>>>>>>
 Mwaka 2011 Hady School ilikuwa na watahiniwa 78 ambapo ilishika nafasi ya kwanza (1) kiwilaya kati ya shule 94, nafasi ya pili (2) kimkoa kati ya shule 528 na nafasi ya kumi na moja (11) kitaifa kati ya shule 15,051 zilizofanya mtihani wa Taifa.

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<< 2010 >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> 

Mwaka 2010 , Shule ya HADY ilikuwa na watahiniwa 83, ambapo ilishika nafasi ya Pili (2) kiwilaya kati ya shule 71, nafasi ya tano (5) Kimkoa kati ya shule 512 na nafasi ya kumi na nane (18) Kitaifa kati ya shule 14,759 zilizofanya mtihani wa Taifa.

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<2009 >>>>>>>>>>>>>>>>>
Mwaka 2009 Hady School ilikuwa na watahiniwa 55 wa darasa la saba ambapo ilishika nafasi ya pili (2) kiwilaya kati ya shule 64, nafasi ya tatu (3) kimkoa kati ya shule 489 na nafasi ya tano (5) kitaifa kati ya shule 14,392 zilizofanya mtihani huo wa Taifa.

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<< 2008 >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

In 2008 Hady School had 45 Grade 7 candidates where it ranked 1st in 61 schools, First (1) region among 466 schools, and sixth (6) nationally among 13948 schools. the test.