| Hapa Lazima Tuvuke darasa kwenda Darasa la Saba mwakani 2013. |
| Hapa Lazima Tuvuke darasa kwenda Darasa la Saba mwakani 2013. |
| Hapa Lazima Tuvuke darasa kwenda Darasa la nne mwaka ujao wa 2013. |
| Kwa uhakika hapa Lazima Tuvuke darasa ,kwenda Darasa la pili mwaka ujao wa 2013. |
| Hata sisi twaweza...na ni Lazima Tuvuke darasa kwenda Darasa la Pili mwaka ujao 2013. |
| Upande wa Nursery hali huwa hivi... hapa wanonekana wakimalizia mitihani yao, huyu ni Mwalimu Massawe. |
| Upande wa Nursery hali huwa hivi... hapa wanonekana wakimalizia mitihani yao, Mwl. Annifrida. |
| Upande wa Nursery hali huwa hivi... hapa wanaonekana wakimalizia mitihani yao, hawa ni waalimu wa nursery Mrs. Abraham na Mrs. Tarimo wakiwa ki kazi zaidi. |
| Upande wa Nursery hali huwa hivi... hapa wanaonekana wakimalizia mitihani yao, hawa ni waalimu wa nursery Mrs. Kavalambi na Mwl. Sophia wakiwa ki kazi zaidi. |
Tags:
Mitihani