UTALII WA NDANI HUU HAPA SASA : PICHA MBALI MBALI ZA WATOTO WADOGO WALIPOTEMBELEA "ARUSHA NATIONAL PARK" AU MOMELLA BAADA YA LIKIZO YA MWISHO WA MWAKA

Twenzetu mbugani....



Teacher Mkongwe, Madam Simon akiwa na watoto wake...





Twiga na Wanyama wengine wengi walikuwepo, kama vile Nyati au Mbogo, Ngiri ,Pundamilia ,Swala na Mbega....

Tuko ziwani....
Mandhari mazuri sana...
























Baada ya Safari ndefu , huu ni muda wa kula ila kabla ya kula lazima MAOMBI yapigwe, alafu kitu cha Chips Kuku....
Eeh Mungu wa Mbinguni bariki Chips na Kuku ......!!!

Karibuni tule ndugu zangu....





Teacher "Baby"au Agness Rwechungura akiwasaidia watoto kuwapunguzia nyama ya kuku...


Teacher Sophia akimwaga Tomato Sauce...



Baada ya kula ni kucheza sasa kwa kwenda mbele....







Furaha ilioje hapa sasa, kushiba tumeshiba na mbugani tumefurahia sana...
KWA PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA "OLDER POSTS"
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post