| Wanafunzi wa kike wa madarasa ya AWALI wakiwa tayari kwa wimbo |
| Wanafunzi wa kiume wa madarasa ya AWALI wakiimba wimbo wao... |
| Mwanafunzi wa darasa la AWALI akiwafundisha wenzake kuhusu viungo vya mwili wa binadamu... |
| Mungu kwanza ..... |
| Madam Agness Rwechungura, wa darasa la AWALI akiwafundisha wanafunzi wake jinsi ya kumheshimu Mungu na kumtanguliza kabla na baada ya mosomo... |
| Madam Abraham, wa darasa la AWALI akiwafundisha wanafunzi wake jinsi ya kuwaheshimu wazazi wao... |
| Madam Betty Samanya , akiwafundisha Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la pili matumizi sahihi ya TEHAMA katika chumba cha Kompyuta. |
| Madam Felister Joshua, akihakikisha wanafunzi wa Darasa la kwanza na la pili wanasoma kupitia michezo mbali mbali ndani ya Kompyuta... |
| Mchezo wa kujaza maji kwenye Chupa za soda kwa haraka....... |
| Mchezo wa kukimbia na vijiko mdomoni... |
| Nyimbo mbali mbali... |
| Waalimu na wafanyakazi wengine wakitazama kwa ukaribu maandalizi ya vipindi vitakavyo rushwa na televisheni ya Taifa...TBC1 hivi karibuni.... |
| Hata huku vi.du.ku vipo........... |
| Maigizo mbali mbali.... |
| Ukakamavu na Ujasiri wa kukokotoa HISABATI darasani kwa wanafunzi wa Darasa la Sita... |
| Mwalimu Samwel Mlay akifundisha somo la Kiingereza kwa ustadi mkubwa... |
| Wanafunzi wetu wakijisomea vitabu vya Kiingereza darasani... |