DARASA LA NNE WAFANYA MTIHANI WAO WA MOCK KWA SIKU MBILI (25-26/9/2013





Mitihani ya Mock kwa Darasa la Nne yamefanyika kwa siku mbili ,kati ya tarehe 25/9 na 26/9/2013. mitihani hiyo imemalizika vizuri na wanafunzi wamekiri kuwa mtihani ulikuwa wa kawaida sana, kwa hiyo tutegemee matokeo mazuri.
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post