PICHA TOFAUTI ZA MAANDALIZI YA VIPINDI VYA TELEVISHENI NDANI YA TBC 1


Wanafunzi wa kike wa madarasa ya AWALI wakiwa tayari kwa wimbo
Wanafunzi wa kiume wa madarasa ya AWALI wakiimba wimbo wao...
Mwanafunzi wa darasa la AWALI akiwafundisha wenzake kuhusu viungo vya mwili wa binadamu...
Mungu kwanza .....


Madam Agness Rwechungura, wa darasa la AWALI akiwafundisha wanafunzi wake jinsi ya kumheshimu Mungu na kumtanguliza kabla na baada ya mosomo...


Madam Abraham, wa darasa la AWALI akiwafundisha wanafunzi wake jinsi ya kuwaheshimu wazazi wao...

Madam Betty Samanya , akiwafundisha Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la pili matumizi sahihi ya TEHAMA katika chumba cha Kompyuta.


Madam Felister Joshua, akihakikisha wanafunzi wa Darasa la kwanza na la pili wanasoma kupitia michezo mbali mbali ndani ya Kompyuta...



Mchezo wa kujaza maji kwenye Chupa za soda kwa haraka.......

Mchezo wa kukimbia na vijiko mdomoni...


Nyimbo mbali mbali...




Waalimu na wafanyakazi wengine wakitazama kwa ukaribu maandalizi ya vipindi vitakavyo rushwa na televisheni ya Taifa...TBC1 hivi karibuni....


Hata huku vi.du.ku vipo...........


Maigizo mbali mbali....




Ukakamavu na Ujasiri wa kukokotoa HISABATI darasani kwa wanafunzi wa Darasa la Sita...






Mwalimu Samwel Mlay akifundisha somo la Kiingereza kwa ustadi mkubwa...
Wanafunzi wetu wakijisomea vitabu vya Kiingereza darasani...






HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post