| Tunu Mbilinyi: karibuni sana ..!!! Hapa ni shoprite Arusha ,wanafunzi wana ji nunulia vitu vyao binafsi kwa ajili ya safari yao ya kwenda kufurahia na kuburudika na michezo tofauti tofauti. |
| Kutoka kushoto: Vaileth Paul, Tunu Mbilinyi ,Sophia Khalphan na Zuena. |
| Msiogope tunatafuta uzoefu wa kuendesha gari.... |
| Timu ya Darasa la Sita |
| Hawa ni timu ya netiboli, ambayo wao hawapendelei michezo ya kubembea |
| Choka sana sisi na michezo hii....!!! |
| Hawa vijana wanapenda mchezo huu |
| Annebell na Tunu ...tumefurahi sana ,sasa tunaenda zetu kula chakula kitamu.....!!!!!karibuni sana Hady !!!! |
| Kunawa mikono kabla ya msosomolo hapo..!!!! |
| chips kuku hiyo sasa...utamu utamu...!!!! |
| Chukua sahani moja mdau wa blogu yetu ,ufurahi na sisi...!!! |
| Wanaume eeh...wanaume ehh...!!hakuna kuongea hapa ni kula tu.!!!! |
| Timu ya darasa la Saba hilo,ambao walicheza na darasa la Sita. |