WANAFUNZI WETU WAKIADHIMISHA SIKU YA USAFI JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wetu wakiwa tayari na gloves kwa ajili ya kuadhimisha siku ya Usafi Jijini Arusha Leo. Tarehe 01/02 ni siku ya usafi jijini Arusha, ambamo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Magessa Mulongo ameagiza jiji liwekwe safi kila idara.
Hapa ni nyuma ya majengo ya Shule ,usafi unaendelea.
Huku ni nje ya shule yetu barabarani..
Hapa tunaelekea eneo la Zahanati iliopo karibu na shule Yetu.
Hapa ni nje ya jengo la Zahanati kata ya Sombetini Arusha ,wanafunzi wetu wakifanya Usafi wa nguvu.
"Usafi uendelee..." chini ya usimamizi wa mwalimu Samuel Mlay.
Kila mtu na kifurushi chake cha uchafu, tayari kwenda kutupa jalalani.
Kwenye shimo la takataka
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post