TRIP(OUTING) FOR BOARDERS IN DIFFERENT PLACES

Tunu Mbilinyi: karibuni sana ..!!! Hapa ni shoprite Arusha ,wanafunzi wana ji nunulia vitu vyao binafsi  kwa ajili ya safari yao ya kwenda kufurahia na kuburudika na michezo tofauti tofauti.
Kutoka kushoto: Vaileth Paul, Tunu Mbilinyi ,Sophia Khalphan na Zuena.






Msiogope tunatafuta uzoefu wa kuendesha gari....

Timu ya Darasa la Sita 
Hawa ni timu ya netiboli, ambayo wao hawapendelei michezo ya kubembea

Choka sana sisi na michezo hii....!!!
Hawa vijana wanapenda mchezo huu
Annebell na Tunu ...tumefurahi sana ,sasa tunaenda zetu kula chakula kitamu.....!!!!!karibuni sana Hady !!!!
Kunawa mikono kabla ya msosomolo hapo..!!!!
chips kuku hiyo sasa...utamu utamu...!!!!
Chukua sahani moja mdau wa blogu yetu ,ufurahi na sisi...!!!


Wanaume eeh...wanaume ehh...!!hakuna kuongea hapa ni kula tu.!!!!

Timu ya darasa la Saba hilo,ambao walicheza na darasa la Sita.
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post