MWANAFUNZI WETU KIPENZI "IRENE ERNEST MBWANA " AZIKWA LEO JIJINI ARUSHA

Mtoto Irene Ernest Mbwana ,alifariki juzi kwa kuchukuliwa na maji wakati akielekea kwenda nyumbani majira ya jioni,ndipo mafuriko yakamchukua kutokana na mvua kubwa kubwa ilionyesha ndani ya viunga vya jiji la Arusha. Waalimu na Wananchi walimtafuta zaidi ya siku mbili ,ndipo wakamkuta umbali wa zaidi ya kilomita kumi na mbili. Irene Amezikwa leo 16/02/2013 nyumbani kwao sombetini Ngusero jijini Arusha.









HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post