Tunafungua
shule tarehe 5:Jan:2015 siku ya jumatatu, hivyo mzazi au mlezi unaombwa
kumleta mwanao katika shule yetu ili apate ELIMU BORA kwa manufaa yake
na ya familia yake.
Shule yetu ni ya Kutwa na Bweni kwa Wanafunzi kuanzia Umri wa Miaka Mitatu (3 Years old) mpaka Sekondari
Kwa wale ambao hawajalipa ADA hakikisha mwano amelipiwa ada bank , Benki hizo ni CRDB Bank , NMB Bank na Diamond Trust Bank, Mzazi /mlezi au Mwanafunzi aje na PAY SLIP hapa shuleni na aandikiwe GATE PASS yake .