WATOTO WETU WA BWENI WATEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI (BOARDING RECREATIONS )

 Mwendo wa kubembea tu...
 Hapo sasa , kubembea na kamba moja...

 Hapa ni mwendo wa bembea moja yenye kubeba watu zaidi ya wanne...
 Hapa ni mwendo wa kuteleza na kuruka bila kuumia popote...mlete mwanao HADY SCHOOL
 Hapa matron wa watoto wa bweni akiwazungusha kwenye huo mchezo... Haujachelewa bado kumleta mwanao HADY SCHOOL...
 Baada ya kucheza , ni kupata Ice Cream kwa kwenda mbele....
 Hapa ni mwendo wa kupanda na kudumbukia ndani ya hilo dude bila kuumia kabisa...
 Kila mtu ameshika piki piki yake isiyo na matairi...ni mwendo wa kutelezesha...
 Ruka kwa kiwango unachoweza.....
Ndani ya kinyumba tunatulia zetu....!!!
Mwendo wa Kuruka bila kukunja goti......Karibu HADY SCHOOL...
Michezo ipo mingi......
 Pozi la Juice hilooo....chezea HADY SCHOOL weweeeee.......!!!
Kwa raha zangu....chezea Boarding ya HADY SCHOOL....???
Kila mtu na kona yake na mchezo wake....
Matrons wa watoto wa bweni wakiwa makini na uangalizi wa watoto wetu...
Umetuona hapa...???
Toka karatu...mpaka kwenye mazingira haya....Chezea HADY SCHOOL .....???
Mwendo wa Kuondoka kwa ustaarabu wa uhakika , tukiongozwa na PATRON wetu Mwl. Mlay
KARIBU SANA HADY NURSERY AND PRIMARY SCHOOL, ILIYOPO Sombetini, Jijini Arusha.
Kwa mengi zaidi Tupigie hapa : 0754 626 278 
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post