WANAFUNZI 2 WALIOSOMA HADY, WAELEZEA FAIDA NA CHANGAMOTO WALIZOZIPATA WAKIWA HAPA SHULENI

 Wanafunzi wawili Sarah Thomas na Digna Richard waelezea jinsi shule ya Hady na masomo waliyoyapata ilivyowasaidia katika masomo yao ya sekondari waliyonayo kwa sasa. Hawa ni wanafunzi waliohitimu darasa la Saba mwaka 2010 na kufanikiwa kufaulu kwa wastani mkubwa , kwa sasa wapo Kidato cha NNE katika Sekondari ya Kutwa ya Arusha (Arusha Day). Kila mmoja ana ndoto zake za baadae, Digna yeye anataka kusoma PCM ili awe Injinia na Sarah anataka kusoma PCB ili awe dakatari wa Moyo. Walezea faida na changamoto walizozipata kipindi walichokuwa wakisoma (boarding) hapa shuleni,wameandika kwa BARUA kwa Mkono.
 Kushoto ni Sarah T. Mfangavo na Digna Richard Kalembe
 Kutoka kushoto Mwalimu wa Hisabati Dr. PN Sway akipata picha na Sarah Thomas Mfangavo na Digna Richard Kalembe
 Kushoto ni Sarah T. Mfangavo, Digna R. Kalembe na Dr. PN Sway Mwalimu wa Hisabati wa shule ya Msingi ya Hady.
 BARUA HII HAPA..........................
 We Digna R. Kalembe and Sarah T. Mfangavo..........
 .....................Examinations which were done very regularly at Hady School increased our confidence and reduced panic because we got used to examinations........................................
Moreover, Hady School offered us with extra subjects......those subjects are French na Computer (I.C.T)......and I (Digna) still enjoy learning French in Form Four........
Challlenges.............
...Needless to say , it has been a very short but interesting time that we spent in Hady School,.........
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post