WAFANYAKAZI WA HADY WAJIPONGEZA KWA SHULE KUFANYA VIZURI KIMKOA NA KITAIFA


Wafanyakazi wa shule ya Awali (Nursery) ,Msingi na Sekondari ya HADY ,wakijipongeza kwa shule kupata tuzo kutoka TAMISEMI, kama shule iliyoingia kwenye KUMI BORA kwa Mtihani wa Darasa la Saba 2013. Sherehe ilifanyika katika ukumbi wa AICC CLUB Kijenge- jijini Arusha.

Karibuni wote na mjisikie mko na wafanyakazi weledi na wenye busara katika kuinua vipaji vya watoto wenu kutoka ngazi ya Awali (Nursery), msingi hadi Sekondari.

kwa maelezo zaidi Piga hapa : 0754 626 278 au 0715 643 633





Mgeni RASMI alikuwa mratibu wa kata ya Sombetini



Makamu wa Taaluma akipata picha na Tuzo tuliyoipata
Simu zilitumika kuchukua matukio...chezea Teknohama weweee....







Mkuu wa Shule ya Msingi wa HADY akiserebuka na Mgeni rasmi wa tukio hilo

Meza kuu


Kushoto mgeni rasmi Mratibu wa kata ya Sombetini Mama Mneja na kulia ni Meneja wa Shule ya Hady mama Muniko


Dereva wetu Bw. Salim a.k.a Chaupepo akiwa na wafanyakazi wa upande wa usafi kwa Boarding
Dereva wa mkurugenzi Bw. Maginga akitulia kwa pozi zito
Mwalimu wa upande wa shule ya AWALI (Nursery ) Madam Agnes Rwechungura akipokea tuzo kwa niaba ya waalimu wenzake
Mwalimu mkuu wa Sekondari akipokea Tuzo kwa niaba ya wenzake





Huyu ndiye DJ wetu na ni MHASIBU wa shule Yetu ya HADY Bw. JAMES
msosomolo ukiendelea.....
Mpishi wetu Mama James akipokea Tuzo kwa niaba ya wapishi wenzake
Sekretari wa Shule Bi. Omega Sumaye akipokea tuzo kwa niaba ya wenzake
Muziki ukifunguliwa na mgeni rasmi
Hapo sasa, Mama Mdogooo... akiyarudi mangoma na wenzake

Mlinzi akipokea Tuzo kwa niaba ya wenzake...
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post