TUZO NYINGINE TOKA MANISPAA YA JIJI LA ARUSHA, KAMA SHULE YA 3 BORA

Tumepata Tuzo Nyingine toka Manispaa ya Jiji la Arusha ,kama Shule ya 3 Bora katika jiji la Arusha na kuiwezesha manispaa yetu kuwa kinara kitaifa.

Wazazi karibuni muwalete watoto wenu wapate Elimu nzuri kutoka kwa Waalimu wenye uweledi mkubwa sana, Pia tuna fundisha somo la TEHAMA na KIFARANSA kwa ustadi wa hali ya juu.

kwa mawasiliano zaidi tupigie hapa : 0754 626 278 au 0715 643 633
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post