TUZO YETU : SHULE YETU IMEPATA TUZO KWA KUWA KUMI BORA JIJINI ARUSHA

TUZO iliyotolewa na TAMISEMI kwa ajili ya shule yetu kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la Saba 2013, kuwa shule kumi bora katika mkoa wa Arusha.
Wanafunzi wa darasa la Saba 2014 Wakishangilia kwa furaha kwa kupata TUZO ya shule bora katika mkoa wa Arusha.
Bado ni wanafunzi wa Darasa la Saba 2014 wakitoa VICHEKO VYA FURAHA, nao wakiahidi kufanya vizuri mwaka huu.
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post