Wanafunzi wa darasa la nne 2012 wakimalizia maandalizi yao , kabla ya kuanza kwa mtihani wao wa Kitaifa kesho 7/11/2012. |
Mr. Tarimo akitoa maelekezo ndani ya darasa la nne kabla ya kuanza kwa mtihani wao wa Kitaifa kesho 7/11/2012. |
Madam Kimario Mary, akitoa maelekezo ndani ya darasa la nne 2012 kabla ya kuanza kwa mtihani wao wa Kitaifa kesho 7/11/2012. |
Someni Jamani...acheni kushangaa...mtihani ni kesho |