SHULE YETU YA SEKONDARI INATARAJIA KUFUNGUA KESHO, TAREHE 19 JAN 2015 , MLETE MWANAO APATE ELIMU BORA

BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI  2015

Wanafunzi wa Sekondari ya Hady wakiwa darasani, Shule ya Sekondari ina wanafunzi kuanzia kidato cha Kwanza hadi cha nne, na Mwaka Huu wameamia kwenye Majengo yao ya Kisasa Huko Kwa Mromboo, Nadosaito. Kwa Maelezo zaidi Piga : 0754 626 278

Wanafunzi wa Sekondari wakiwa kwenye Darasa la TEHAMA...

Wanafunzi wa Sekondari wakiwa katika Maktaba ya Shule ya Hady. KARIBUNI WAZAZI NA WALEZI , MWANAO APATE ELIMU BORA
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post