Wanafunzi wetu wakipata chai ya Nguvu , kabla ya kuanza safari ya kutembelea Makumbusho mbali mbali na Makaburi ya watu wa kale huko Kaole sanaa Museum...!
Wanafuzni wakifurahia Mandahari huku wakipata chai iliyoandaliwa vizuri...
Waalimu na Mkuu wa Msafara wakipata chai
kitu Mandazi , Chai, Juice , Maziwa ,Matunda , Mkate.....
#Selfie