Study Tour Part 1: Watoto wetu wa Darasa la Tano na Sita Watembelea Bagamoyo Mkoani Pwani

 Wanafunzi wetu wameingia kwenye magari kwa utaratibu kwa Safari ya Masomo kwa Vitendo Bagamoyo Mkoani Pwani
 Muda wa Kula sasa  chakula kitamu kutoka Rock Hills restaurant
 Mandhari ya Hoteli hiyo, tukiwa Safarini kuelekea Bagamoyo

 Wengine walilala wakifurahia Garden ya Rock Hills Hotel
Maombi ya Kuwaombea wanaosafiri  kwenda Bagamoyo, tarehe 23/11/2015
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post