Mitihani ya Mwisho wa Muhula wa Kwanza Kuanza Kesho 20:03:2015

 Tunatarajia Kuanza Mitihani yetu ya Mwisho wa Muhula wa Kwanza kwa mwaka Huu, Kesho tarehe 20 mwezi Machi 2015 (ijumaa) hadi tarehe 26 mwezi Machi 2015 (Alhamisi). 

Tunatarajia kuanza likizo ya Mwezi kwa mwisho wa Muhula huu tarehe 27/03/2015 (ijumaa) na kusherehekea Pasaka kwa Wakristo na wengine likizo ya kawaida.

Tunatarajia kufungua shule kwa muhula wa pili Tarehe 4 mwezi Mei 2015 (Jumatatu) kwa wanafunzi wa kutwa, na kwa wanafunzi wa Bweni ni Tarehe 3/5/2015 (Jumapili).

Tunawatakia Wanafunzi wetu Mitihani Mema. Likizo Njema. Tunawapenda wote

HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post