| Hapa ni nyuma ya majengo ya Shule ,usafi unaendelea. |
| Huku ni nje ya shule yetu barabarani.. |
| Hapa tunaelekea eneo la Zahanati iliopo karibu na shule Yetu. |
| Hapa ni nje ya jengo la Zahanati kata ya Sombetini Arusha ,wanafunzi wetu wakifanya Usafi wa nguvu. |
| "Usafi uendelee..." chini ya usimamizi wa mwalimu Samuel Mlay. |
| Kila mtu na kifurushi chake cha uchafu, tayari kwenda kutupa jalalani. |
| Kwenye shimo la takataka |