Shule Bora Jijini Arusha :Wanafunzi waliomaliza katika Shule Yetu Wang'ara Kidato cha Nne 2016



Kutoka Kushoto ni Irene Enock, Salome Thomas ,Ian Thomas , Hussein Twaha na Hassan Mkumbwa wote ni Wanafunzi waliohitimu katika shule yetu ya HADY miaka ya nyuma ,wafanya vizuri katika Mitihani yao ya kidato cha Nne 2016 kwa Kupata Division 1 wote kwa alama na shule tofauti . Wanafunzi hao walifanya ziara ya kushtukiza hapa shuleni na kuwasalimia walimu wao waliowafundisha pamoja na kuleta ujumbe huo.




Karibuni HADY NURSERY, PRIMARY AND SECONDARY SCHOOL kwa Elimu Bora kwa Mwanao...

Irene Enock na Salome Thomas wakipata picha mwanana...

Ian Thomas ,Hussein na Hassan Mkumbwa wakipata Picha ya Pamoja......
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post