Mwanafunzi wetu (Jolenta Mtui) akifurahia safari ya Dar es Salaam na FASJET

 Mwanafunzi wetu Jolenta Mtui wa darasa la nne, Hady Primary School (Arusha) akifurahia safari yake ya kurudi nyumbani kwao Dar es Salaam kwa usafiri wa Ndege ya FastJet mara baada ya kumaliza mitihani yake ya nusu muhula.

 Jolenta Mtui Kabla ya kuingia ndani ya Pipa na ku kwea Jijini Dar na FastJet...
 Jolenta Mtui akiwa kabla ya kuingia ndani kabisa ya ndege tayarikuelekea jijini
Jolenta Mtui akipata Selfie na Uncle wake Othman Michuzi waliosafiri nae mpaka Dar
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post