Sekondari: Taswira mbalimbali ya Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017, Nadosoito Muriet-Arusha

Meneja wa Shule ya Sekondari Hady Madam Muniko, akiwasili kwenye viwanja vya Mahafali ya kidato cha Nne 2017, Nadosoito-Muriet, Arusha.
Maonyesho ya Masomo mbalimbali

Maonyesho ya Sayansi, hasa wakimueleza Mgeni Rasmi Madhara ya Uvutaji wa Sigara
James Wanda, akielezea Madhara ya Uvutaji wa Sigara kwa Mgeni Rasmi

Wahitimu wakiimba Wimbo wa Taifa

Wimbo wa Taifa
Wahitimu kwenye Jukwaa lao
Mkurugenzi wa Shule za Hady, Hady Sekondari na Shule ya Msingi Mhe. Capt. J Muniko akimkaribisha Mgeni Rasmi Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ,Ndugu Tito Cholobi katika Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017 katika viwanja vya Shule ,Nadosoito, Muriet Arusha.
Wanafunzi wa kidato cha pili na tatu wakiimba wimbo wa kuwaaga wahitimu
Wahitimu wakipata Matukio mbalimbali Mbashara kwenye Simu za Mkononi za Wazazi wao
Mwalimu wa Taaluma, Mwl. Steven Malugu katika Mahafali hayo
Mhitimu Irene Kissanga akiimba wimbo wa kuwaaga wadogo zao wanaobaki shuleni
Mwalimu Nuhu Azizi akifuatilia mahafali kwa ukaribu Sana
Walimu wa Hady Sekondari, Rose Urio na Ween Joseph wakiwa na nyuso za Furaha
Wapiga Picha hawakuwa nyuma kuchukua Matukio
Mwenekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Hady
Mwakilishi wa Mgeni Rasmi, Ndugu Tito Cholobi, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akitoa nasaha kwa wahitimu wa kidato cha Nne wa Hady Sekondari katika Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017 katika viwanja vya Shule ,Nadosoito, Muriet Arusha.






Miserebuko ya Nguvu



Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi, Mwakilishi wa Mgeni Rasmi, Ndugu Tito Cholobi, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akitoa nasaha kwa wahitimu wa kidato cha Nne wa Hady Sekondari katika Mahafali ya 3 ya Kidato cha Nne 2017 katika viwanja vya Shule ,Nadosoito, Muriet Arusha.
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post