WAKURUGENZI WA SHULE ZA HADY (MSINGI NA SEKONDARI) WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA DARASA LA SABA 2017

Kushoto ni Meneja wa Shule za Hady(Msingi na Sekondari)  Madam Muniko na Mkurugenzi Capt. James Muniko wakicheka kwa furaha katika Mahafali ya 12 ya Darasa la Saba na sherehe za Kutimiza Miaka 17 ya Kuanzishwa kwa shule ya Awali na Msingi Hady. Pia Tuna Sekondari.
 Madam Muniko and Capt. James Muniko



 Maandamano ya Wahitimu wa Darasa la Saba 2017

Kutoka Kushoto ni Mgeni Rasmi, Bw. Anthony Mushi, Mkurugenzi wa Shule Cpt. Muniko, Mkuu wa Shule ya Msingi Mwl. Peter Muro , Mkuu wa Shule ya Sekondari Hady Mwl. Emmanuel Vicent na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Hady.


HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post