| Safari inaanza kuelekea Nairobi, Kenya kufurahi baada ya kufunga shule kwa muda, trip ilikua ya siku tatu na wanafunzi walifurahi sana... |
| Mkurugenzi na Meneja wa Shule ya Hady ,wakitadhmini safari katika eneo la Namanga Mpakani, wakati tukielekea Nairobi kwa safari ya siku tatu. |
| hapa ni maeneo ya KAJIADO.....tulipumzika kidogo |
| Hapa sasa tumesha ingia jijini Nairobi, katikati ya jiji mitaa ya UHURU PARK ambapo watoto walijinafasi kwa raha zao, wakuchorwa , kubembea na kuogelea na boti ndogo.... |
| Nectar ,akiwa anachorwa.... |
| Angellah Abdallah, Brenda Makoi na Aisha Isihaka wakiwa wamependeza ..... |
| Mwalimu Mlay akifurahia na watoto ndani ya boti katika eneo la UHURU PARK ,Nairobi, Kenya. |