![]() |
| Twenzetu mbugani.... |
![]() |
| Teacher Mkongwe, Madam Simon akiwa na watoto wake... |
![]() |
| Twiga na Wanyama wengine wengi walikuwepo, kama vile Nyati au Mbogo, Ngiri ,Pundamilia ,Swala na Mbega.... |
![]() |
| Tuko ziwani.... |
![]() |
| Mandhari mazuri sana... |
![]() |
| Baada ya Safari ndefu , huu ni muda wa kula ila kabla ya kula lazima MAOMBI yapigwe, alafu kitu cha Chips Kuku.... |
![]() |
| Eeh Mungu wa Mbinguni bariki Chips na Kuku ......!!! |
![]() |
| Karibuni tule ndugu zangu.... |
![]() |
| Teacher "Baby"au Agness Rwechungura akiwasaidia watoto kuwapunguzia nyama ya kuku... |
![]() |
| Teacher Sophia akimwaga Tomato Sauce... |
![]() |
| Baada ya kula ni kucheza sasa kwa kwenda mbele.... |
![]() |
| Furaha ilioje hapa sasa, kushiba tumeshiba na mbugani tumefurahia sana... |







































































