![]() |
| Mama Bradley akimfurahia mwanae kwa kuweza kuhesabu namba,mara baada ya kumtembelea shuleni hapa;huyu ndie mtoto mwenye umri mdogo kuliko wote ,ana miaka miwili na miezi minne. |
| Bradley akiweka pozi la picha, akiwa na wenzake |
| Baadhi ya rafiki zake na Bradley na Careen wakipiga picha ya pamoja |
| watoto wa nursery wing,sio wote wakipanga mstari |
