| Furahini siku zote ..... |
| Muda wa kwenda nyumbani.....!!! |
| Hawa ni baadhi ya Darasa la Saba ,ambao wanatarajia kufanya mtihani wa Mkoa-kesho. Kutoka kushoto ni Eunice Shirima, Neema Dickson, Fatuma Hussein na wengine ni wa madarasa ya chini. |
| Busy na kuadika ,wanafunzi wa Darasa la NNE |
| Shangwe ...Shangwe hasa wakati wa kufuata Msosi..... |