| Vijana wametulia ,wamependeza na wanasubiria vyeti vyao vya kuhitimu darasa la msingi. |
| Maandamano ya kuingia eneo maalum ndani ya shule kwa ajili ya mahafali ya darasa la saba hapa shuleni kwetu. |
| Wanatembea kwa ushindi wa kuhitimu darasa la msingi ... |
| Waalimu na wafanyakazi wakiwa wamependeza katika mahafali ya darasa la saba la mwaka 2009..... |
Tags:
Wafanyakazi na Wanafunzi