INTERVIEW YA SEKONDARI YA HADY ITAANZA TAREHE 29 Sept, Mpaka Mwisho wa Mwezi Oktoba 2015

 MZAZI /MLEZI AU MWANAFUNZI UNATAARIFIWA KUWA :

 Kwa Wanafunzi wa Sekondari, Kutakuwa na Interview kila Jumamosi, kuanzia tarehe 29 Septemba hadi mwisho wa Mwezi Oktaba 2015 :

MAHALI: Hady Primary School Sombetini,Arusha au Hady Secondary ,Nadosoito Kwamorombop-Mateves Arusha.

 WAHI WAHI NAFASI NI YAKO...
 
Kwa Maelezo zaidi Piga : 0754 626 278 au 0752 89 52 73

HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post