Wanafunzi Watatu walioshika nafasi za Juu, Nice Fredrick , Kelvin Anzamen na Kishe, Wakipongezwa na wanafunzi baada ya kufaulu vizuri mtihani wao uliofanyika Burka, Ukiwa ni wa Ujirani Mwema kwa Mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Wanafunzi hao ni wale The Best , Nice Fredrick akawa wa 3 katika ya hao 232.