| Magari yamewasili na wanafunzi kwa shughuli moja tu ya kuwafurahisha na kuwaburudisha wanafunzi wetu . |
| Muonekano mzuri wa ziwa Duluti -Tengeru Arusha, ambamo wanafunzi wa Hady Nursery and Primary School walitembelea 6/10/2012 |
| Wanafunzi wakiwasili ziwani kwa kazi moja tu ya kuburudika baada ya kuchoka na shughuli nzito za kimasomo. |
| Huyu ni mtoto wa Baby Class(Simon) akishuka zake kuelekea ziwani. |
| Dah ziwa Duluti ndo liko hivi......??? |
| Jamani tuna taka kuogelea .....!!!!! |
| Someni kwanza hapa.....!! |
| Kutoka kushoto ni Madereva wa Hady uncle Salim,Uncle Yusuph ,Uncle Hassan na mwalimu wa bweni (Patron wa Hady) wakihakikisha mambo ynakwenda sawa |
| Mr. Samwel Mlay akisoma wanafunzi watakaopanda boti ili kufurahia mandhari ya ziwa Duluti. |
| Picha ya pamoja ya wanafunzi wa Nursery na wa Class One |
| Tayari kwa kusafiri kidogo juu ya maji .... |
| Haya sasa safari imeanza......!!!!! |
| Tuko huku sisi....raha jamani kwa wanafunzi wa HADY |
| Nyie nendeni sisi tunaogelea hapa hapa...!!! |
| Maji matamu jamani......karibuni waungwana |
| Tumewasili kwa mara nyingine ......!!!! |
| Big Boy wa Class Six akifurahia picha ndani ya boti...... |
| Shuka mdogo wangu kwanza, ndo na mimi nishuke eeeh...!!! |
Tags:
Utalii