| Clean Toilets for Better Health....Usafi unazingatiwa...!! |
| Wafanyakazi na Wanafunzi |
| Kiswahili kwa wanafunzi ni mwiko...,ila wakati wa kipindi cha somo hilo ndipo swahili huzungumzwa. |
| Kuelekea Administration Block |
| Wanafunzi wakiwa tayari kwa ajili ya ukaguzi wa usafi,mavazi na gwaride,bila kusahau wimbo wa Taifa la Tanzania. |
Tags:
Matukio