Wankyo Muniko (pili kushoto ) akiwa na Wanafunzi wenzake wa HADY SEKONDARI wakipata picha ya pamoja walipotembelea Nyumba Ya Mungu, sehemu ya umeme unapotengenezwa (POWER PLANT ) kwa masomo ya Vitendo.
Huo ni mtiririko wa sehemu mkoa, jina la shule aendayo na Tahasusi aliyopangiwa.