Study Tour 2 : Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Hady Wakifurahia Mandhari ya Kijiji cha Kale cha Bagamoyo, Mkoani Pwani

 Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Hady kutoka Arusha Bw. Emanuel Vicent Tarimo (mwenye fulana ya mistari) akifurahia mandahari ya Bagamoyo na Wanafunzi wake , walipokwenda kwa Masomo ya Vitendo ya Mambo ya Kale huko Bagamoyo ,Mkoani Pwani.
 Wanafunzi wa Sekondari ya Hady ya Arusha, Wakifurahia Ufukwe wa Bahari ya Hindi
Wanafunzi wa Sekondari ya Hady ya Arusha,wakisikiliza maelekezo ya Mtaalamu
Wanafunzi wa Sekondari ya Hady ya Arusha,wakishuka kwenye basi tayari kuhudhuria masomo ya Vitendo huko Bagamoyo
Wanafunzi wa Sekondari ya Hady ya Arusha,Wakiangalia zana mbali mbali ya kale huko Bagamoyo
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post