TUMEFUNGUA SHULE YETU TAREHE 5 / 5/ 2014;KARIBUNI WOTE

Tumefungua shule tarehe 5:5:2014 siku ya jumatatu, hivyo mzazi au mlezi unaombwa kumleta mwanao katika shule yetu ili apate ELIMU BORA kwa manufaa yake na ya familia yake.

Kwa wale ambao hawajalipa ADA hakikisha mwano amelipiwa ada bank alafu aje na PAY SLIP hapa shuleni na aandikiwe GATE PASS yake .
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post