UTALII WA NJE : PICHA ZA SAFARI YA NAIROBI SIKU YA KWANZA, WATOTO WALIFURAHIA SANA

Safari inaanza kuelekea Nairobi, Kenya kufurahi baada ya kufunga shule kwa muda, trip ilikua ya siku tatu na wanafunzi walifurahi sana...
Mkurugenzi na Meneja  wa Shule ya Hady ,wakitadhmini safari katika eneo la Namanga Mpakani, wakati tukielekea Nairobi kwa safari ya siku tatu.


hapa ni maeneo ya KAJIADO.....tulipumzika kidogo
















Hapa sasa tumesha ingia jijini Nairobi, katikati ya jiji mitaa ya UHURU PARK ambapo watoto walijinafasi kwa raha zao, wakuchorwa , kubembea na kuogelea na boti ndogo....

Nectar ,akiwa anachorwa....
Angellah Abdallah, Brenda Makoi na Aisha Isihaka wakiwa wamependeza .....
Mwalimu Mlay akifurahia na watoto ndani ya boti katika eneo la UHURU PARK ,Nairobi, Kenya.








HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post