BIG RESLUTS NOW: WANAFUNZI WA DARASA LA SITA WAKIFANYA MTIHANI HUO

Wanafunzi wa Darasa la Sita wa hapa shuleni wakimalizia mtihani wa Tatu katika mpango wa "BIG RESULTS NOW" ulioandaliwa na wizara ya Elimu. mtihani huo ni wa kuwapima kama wanaweza kuingia Darasa la Saba mwakani, na umefanyika kwa siku tatu, ukiwa na somo la Hisabati, Kiingereza na Kiswahili na umefanyika kwa siku tatu mfululizo toka jumatatu.








HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post