WALIOKUWA KUMI BORA NA NDOTO ZAO BAADA YA KUHITIMU DARASA LA SABA 2013

Jina langu: Geofrey Wilfred Mollel ****Darasa : Saba (7) -2013 **** Natokea Mkoa wa: Dodoma **** Napendelea : (a) Kucheza mpira wa miguu(b) Kutembelea mbuga za wanyama(c) Kusoma vitabu vya hadithi na historia****Natarajia kuwa : (i)RAISI (ii)Rubani
Jina langu: Innocent Stedvant Kileo ****Darasa : Saba (7) -2013 **** Natokea Mkoa wa: Mbeya **** Napendelea : (a) Kuimba(b) Kusoma vitabu(c) Kuogelea ****Natarajia kuwa : (i)Rubani  (ii)Mwana sayansi wa mambo ya Anga
Jina langu: Nancy Eliasy Mdee **** Darasa : Saba(7)-2013 **** Natokea Mkoa wa : Lembeni ,Kilimanjaro **** Napendelea : (a) Kusoma vitabu vya hadithi (b) Kuwa mwaminifu katika kazi zangu  (c) Kula matunda ****Natarajia kuwa : (i)Rubani
 
Jina langu: Philemon Freddy Mmbagah **** Darasa : Saba (7) -2013 **** Natokea Mkoa wa : Arusha **** Napendelea : (a) Kuogelea(Swimming)(b) Kucheza muziki(Dancing)(c) Kuimba (Singing) ****Natarajia kuwa : (i)Injinia wa Ndege
Jina langu: Abdallah Jumanne Kingu **** Darasa :Saba(7)-2013 **** Natokea Mkoa wa : Arusha **** Napendelea : (a) Kucheza mpira wa miguu(b) Kusoma vitabu(c) Kusikiliza Redio ****Natarajia kuwa :(i)Daktari (ii)Raisi wa Tanzania(iii)Rubani
Jina langu: Criss Patrick Girambo**** Darasa : Saba(7)-2013 **** Natokea Mkoa wa : Arusha  **** Napendelea : (a) Kuogelea (b) mchezo wa Kung-Fu(c) Kuangalia filamu (d) Kuogelea****Natarajia kuwa : (i)Daktari wa Moyo(Speacilist)
Jina langu: Derek Dedan Bilaro ****Darasa : Saba (7)-2013 **** Natokea Mkoa wa : Biharamulo ,Kagera **** Napendelea : (a) Kula(b) Kusoma vitabu(c) Kucheza mpira wa miguu(d) Kuendesha Baiskeli ****Natarajia kuwa : (i)Daktari (ii)Rubani
Jina langu: Fatma Hussein Kamba ****Darasa : Saba (7)-2013 **** Natokea Mkoa wa : Arusha **** Napendelea : (a) Mchezo wa Sarakasi (Acrobatics) ****Natarajia kuwa : (i)Mwanasayansi wa wanyama pori (Wild Animal expert)(ii)Injinia wa Kompyuta (iii)Rubani(Pilot)
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post