Magari yamewasili na wanafunzi kwa shughuli moja tu ya kuwafurahisha na kuwaburudisha wanafunzi wetu . |
Muonekano mzuri wa ziwa Duluti -Tengeru Arusha, ambamo wanafunzi wa Hady Nursery and Primary School walitembelea 6/10/2012 |
Wanafunzi wakiwasili ziwani kwa kazi moja tu ya kuburudika baada ya kuchoka na shughuli nzito za kimasomo. |
Huyu ni mtoto wa Baby Class(Simon) akishuka zake kuelekea ziwani. |
Dah ziwa Duluti ndo liko hivi......??? |
Jamani tuna taka kuogelea .....!!!!! |
Someni kwanza hapa.....!! |
Kutoka kushoto ni Madereva wa Hady uncle Salim,Uncle Yusuph ,Uncle Hassan na mwalimu wa bweni (Patron wa Hady) wakihakikisha mambo ynakwenda sawa |
Mr. Samwel Mlay akisoma wanafunzi watakaopanda boti ili kufurahia mandhari ya ziwa Duluti. |
Picha ya pamoja ya wanafunzi wa Nursery na wa Class One |
Tayari kwa kusafiri kidogo juu ya maji .... |
Haya sasa safari imeanza......!!!!! |
Tuko huku sisi....raha jamani kwa wanafunzi wa HADY |
Nyie nendeni sisi tunaogelea hapa hapa...!!! |
Maji matamu jamani......karibuni waungwana |
Tumewasili kwa mara nyingine ......!!!! |
Big Boy wa Class Six akifurahia picha ndani ya boti...... |
Shuka mdogo wangu kwanza, ndo na mimi nishuke eeeh...!!! |
Tags:
Utalii