Waalimu na wanafunzi wakimalizia mitihani yao,ili wazazi waje jumamosi kuona wanachofanya wanafunzi wao na wafanyakazi wa shule ya Awali na Msingi ya Hady. |
Mwalimu wa Taaluma Mwl. Emanuel Tarimo akimalizia shughuli zake ili siku ya wazazi iwe na mafanikio Kitaaluma. |
Daktari wa somo la Hisabati Mwl. PN Sway akisahihisha madaftari kwa ufanisi |
Mazoezi ni Muhimu kwa afya ya Mtoto wako....ijumaa ya kila mwanzo wa mwezi huwa ndo siku ya mazoezi mbali mbali. |
Mbio mbio mbio...kila mtu na jezi ya kufanyia mazoezi |
Vijana Wakifurahia mbio pamoja na picha...!!! |
Wengine waleeeee...ila na mimi nitafika tu. |
Mwalimu wa michezo Mwl. Samwel Mlay akiwakimbiza wanafunzi kwa juhudi zote |
Kila mtu lazima akimbie....!mimi natakiwa niwe wa mwisho ....anasema...Mwalimu wa michezo Mwl. Samwel Mlay |
Tags:
Mazoezi