Hawa ni wanafunzi wa darasa la saba 2012,kabla ya kufanya mtihani wao wa kuhitimu ,wakienda kufanya interview kwenye sekondari moja iliopo jijini Arusha,na matokeo yalitoka wamefaulu wote. |
Haya ni madarasa mazuri yanayovutia kwa mwanafunzi makini ,hasa wa Hady. karibu sana. ukitaka kuwasiliana nasi usisite: piga namba hizi hapa:0754 626 278 na e-mail:hadyschool@gmail.com |