MATHEMATICIAN OF ARUSHA REGION

Huyu binti anaitwa SADA KINGU ,amefanikiwa kuchaguliwa kuwa mwanafunzi bora wa somo la hisabati la hapa arusha mjini,ameungana na wenzake huko kibaha pwani ili washindanishwe kwa mashindano ya kitaifa.
HADY SCHOOLS

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post